President Magufuli said he did not want bilateral aid complies with the conditions, titled 'bread mocking'. He stressed that Victor is your victory is better than eating cassava bread.
He stated this yesterday when he laid the foundation stone for the construction of the first road to the top (flyover), creates an intersection of Mandela and Nyerere area TAZARA Dar es Salaam. The road to the top is being built with funding from the Government of Japan. We congratulate the President for his statement that Magufuli about aid donor countries.
We say this because this is the first time for President Magufuli discuss aid from the Millennium Challenge Corporation (MCC) of the United States, to withdraw support to the Government of Tanzania to US $ 472.8 million equivalent to almost one trillion shillings.
MCC halted such assistance on the grounds that the government has not taken steps to respect freedom of expression and freedom of association in the implementation of the Law of Criminal Network and also that the government did not take action regarding the choice of destination of Zanzibar, held on March 20, this year.
Tanzania claimed MCC Board continued with the choice of destination, which is to share with you all and not all ukuakisi opinion, despite complaints from the US government and the international community. These decisions should not have given to MCC, based on good relationships and long term between the United States and Tanzania.
These two nations have been collaborating in various fields, eg education and health for many years. MCC was necessary to be done and was continuing to talk with the government of Tanzania on those two issues and get clarification; instead of taking a sudden decision to suspend aid.
In addition, we are backed President Magufuli for his statement about the Government of Japan, that Japan is a true friend of Tanzania, as has been giving aid without conditions or threats, eg assistance building many roads in the country. Japanese Finance made it to their taxpayers.
For example in road construction that top constructed in areas set of TAZARA, Japan has provided money to taxpayers his billion shillings 93.44 and Tanzania has provided Sh 8.3 billion to make the project costing more than Sh 100 billion Generally speaking, we thank the very government of Japan and citizens his influences how the various projects of Tanzania.
We know most of the world countries are friends and Tanzania continued to have a relationship with them for many years. So we appeal to them with, follow the example of Japan to provide aid without conditions.
And if you had provided unconditional aid to Tanzania, then continue to do so. We remind donors that Tanzania does not need donors, who give aid and conditional alarming. Better than eating cassava bread kusimangwa.
Uchaguzi Mkuu
Monday, April 18, 2016
Friday, August 21, 2015
AJINYONGA BAADA YA KUKATALIWA NA MCHUMBA WAKE AMBAYE WALIKUWA WAFUNGE NDOA 28.08.2015
Na Juhudi
Felix-KYERWA
Mtu mmoja
mkazi wa Kitongoji cha
Kishanda B Kijiji cha Kyerwa
Kata ya Kyerwa
wilayani Kyerwa mkoani
Kagera amekutwa amejinyonga nyumbani
kwake na kuacha
ujumbe unaelezea sababu za kujinyonga
kwake kuwa ni
kukataliwa kwa mchumba wake
waliokuwa wanatarajia kufunga
ndoa Agosti 28 mwaka
huu.
Akithibitisha tukio
hilo jana mwenyekiti
wa kitongoji hicho Ibrahimu Paschal alisema kuwa
aliyejinyonga ni Sabinus Gabriel
miaka (30) na alitumia kamba ya
katani aliyoifunga kwenye
dari ya nyumba
yake.
Alisema
marehemu aliacha ujumbe aliouandika ukielezea
sababu zilizopelekea
kuchukua uamuzi huo
wa kujiua kuwa
ulitokana na kukataliwa
na binti aliyekuwa
anamchumbia na taratibu
zilikuwa zimeishakamilika na
mchumba wake huyo
kubadili maamuzi ghafla
na kumweleza hamtaki
tena kwasababu amempata
mwingine.
Aliyejinyonga
alitarajia kufunga ndoa
Agosti 28 mwaka huu
ambapo wana ndugu
walieleza kuwa taratibu
za kutoa mahali
zilikuwa zimeishafuatwa ambapo
Jumatatu ya Agosti 17
mwaka huu baadhi
ya vitu vilipelekwa
kwa wazazi wake
na binti.
Mwenyekiti
huyo alisema kuwa
tukio hilo la
watu kujinyonga katika
kijiji hicho ni
la pili ndani
ya wiki mbili
kwani kuna baba
mmoja alijinyonga baada ya
mke wake kuondoka
na kurudi kwa wazazi wake
huku akihaidi kutorudi kwake
na ndoa yao
haipo tena kutokana
na kile kilichodaiwa
ni kuwepo migogoro
ya muda mrefu ndani
ya familia hiyo.
Aidha Mzazi
wa marehemu Gabriel Rubinduka alieleza kusikitishwa na tukio la kifo
cha mtoto wake ambaye walitarajia kumfanyia sherehe kama walivyokuwa wameazimia kutokana na
maandalizi yaliyokuwa yamefanyika katika familia yao.
“Ni majonzi
makubwa kweli familia
tulishajiandaa kumwandalia sherehe
kubwa lakini hili lililomtokea sijui
kama ni mipango
ya Mungu ila
yote tunamwachia aliyetuumba
na kilichobakia ni
kuendelea kumwombea pumziko
la Amani”Alisema Gabriel
Binti
aliyekuwa anachumbiwa Jovitha
Novath alipofuatwa na
waandishi wa habari kuelezea
mkasa huo kama
ujumbe ulioachwa na
marehemu kama una
ukweli ndani yake
hakuwa tayari kuzungumzia
tukio hilo.
Kwa
upande wake Novath
Kalekona ambaye ni
mzazi wa binti
aliyekuwa anachumbiwa alikiri
kuwa ni kweli
binti yake kuchumbiwa
na huyo aliyejinyonga
na kusema kuwa
ni kweli baadhi ya mali
alikwishapokea kutoka kwa
wazazi wake na
marehemu.
“Ni
kweli wazazi wa
marehemu walileta mali
ambazo kwa makubaliano
ambayo ni taratibu
ambazo ni utamaduni
wetu lazima kuzitimiza
na walikuwa kwangu
jumatatu ya Agosti 17
mwaka huu lakini
hili la kujinyonga
limenishutua hata mimi na
hatukujua kama kuna hali
kama hiyo maana
walikuwa wakipendana kweli”Alisema
Kalekona
Jeshi la polisi
wilayani Kyerwa wameruhusu
mwili wa marehemu
kuzikwa baada ya
uchunguzi wa kitabibu
uliofanywa na mganga mfawidhi kutoka
Zahanati ya Kimuli Braisoni Katabaro.
AWUWAWA NA KUCHOMWA MOTO BAADA YA YEYE NAYE KUMUUA MAMA YAKE WA KAMBO
Na
Juhudi Felix- KYERWA
Matukio
ya wananchi kujichukulia sheria
mikononi na kuwapiga,kuwachoma moto watuhumiwa wanaowakamata
yanazidi kuongezeka wilaya
ya Kyerwa na
Karagwe mkoani Kagera
baada ya wananchi wa Kitongoji
cha Nyabihara kijiji cha
Kibingo kata Kibingo
kupinga kisha kumchoma
kwa moto kijana
mmoja aliyetambuliwa kwa
jina la Thomas Tumuhirwe miaka (24) baada ya
yeye kumua mama
yake wa Kambo Juliana
Tumuhirwe miaka (57)
Akithibitisha
kutokea tukio hilo
jana afisa mtendaji wa kata ya
Kibingo Geofrey Mihambwe alisema tukio
hilo limetokea usiku wa Agosti 19 mwaka
huu ambapo kijana huyo ambaye kwa sasa ni
Marehemu alimuua Mama yake huyo kwa kumkata na panga sehemu ya shingo pia
kumchoma kisu kifuani juu ya
titi la kushoto.
Alisema kuwa
chanzo cha mauaji hayo kimetokana na visa vilivyokuwepo baina ya hao marehemu
na kuwa siku za nyuma kijana huyo
Thomasi Tumuhirwe aliwahi
kuhukumiwa kifungo jela kufuatia
kumuibia mama huyo mbuzi wake
watano.
Wananchi
walioongea na waandishi
wa habari katika
eneo la tukio
walisema kijana huyo
aliyeuwawa kisha kuchomwa moto
alikuwa akijihusisha na
vitendo vya wizi
wa mali kwenye
kijiji hicho.
Rutambi
Mabati alisema kuwa
kutokana na tabia
hizo wananchi ndiyo
maana waliamua kuchukua
hatua hiyo ili kukomesha
wizi na vitendo
vya kijana huyo.
Marehemu
mama Juliana Tumuhirwe miaka (57), hakubahatika kupata
mtoto katika maisha
yake kwani majirani walieleza
kuwa alikuwa akijufungua
watoto kisha wanafariki
dunia.
Polisi
wilayani Kyerwa limethibitisha kutokea kwa vifo hivyo ambapo mganga
mfawidhi kutoka zahanati ya Kibingo Diana Tamba alifika eneo la tukio na
kufanya uchunguzi wa kitababu kisha kuruhusu miili ya marehemu kuzikwa.
Hata hivyo polisi wamewataka wananchi kutojichukulia
sheria mkononi kuwa hakuna mwananchi
akiye juu ya sheria na kuwaasa kutii sheria bila shurti.
VIJANA WANAOJIITA VIBARU KATIKA MRADI WA REA WAGOMBA KUFANYA KAZI KISHA MALIPO YAO.
Na Juhudi
Felix-KARAGWE.
Vijana wanaofanya kazi katika mradi wa umeme vijijini
(REA) katika laini ya Nkwenda wamegoma
kufanya kazi kwa siku ya leo agosti 21 kisha kuzingira ofisi za Rea zilizopo
Wilayani Karagwe kwa madai ya kutolipwa malipo yao kwa muda mrefu.
Vijana hao
ambao wameeleza kuwa shughuli yao ni kuchimba mashimbo na kutandaza nyaya za
umeme wamefikia hatua hiyo baada ya kutolipwa malipo yao kwa muda wa wiki tano.
Wameeleza kuwa makubaliano ya kazi hiyo ni kulipwa
kila baada ya wiki moja lakini makubaliano hayo yamevunjwa na kuwasababishia
kuishi kwa kutangatanga kwani hawana pesa ya kujikimu.
Vijana hao wameeleza kuwa endapo ofisi za REA
zitashindwa kuwapatia madai yao watahakikisha wanaharibu nguzo ambazo walikuwa
wamekwisha kuzijenga kutokana na kuwa hawajatendewa haki zao za msingi.
Mhandisi wa REA wilayani Karagwe Baraka Marco
amewataka vijana hao kuwa na subira na muda wowote watalipwa madai
yao ambayo wanadai kwani mipango ya kuwalipa pesa yao inaendelea.
SHAHIDI WA NNE KATIKA KESI YA ALIYEKUWA MEYA WA MANISPAA YA BUKOBA AKAMILISHA USHAHIDI WAKE
SHAHIDI wa nne kwa upande wa utetezi, katika kesi
ya aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba Anatory
Amani, amekamilisha kutoa ushahidi wake, baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa
wa Kagera kukubali kupokea CD mbili kama Vielelezo vya ushahidi wake.
Katika kesi hiyo ya Madai Namba mbili ya mwaka
2014, Amani anaiomba Mahakama hiyo imwamrishe
Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba, amfungulie
Ofisi na kumtimizia haki zake
kama Meya wa Manispaa hiyo.
Katika Vielelezo hivyo, Shahidi huyo ambaye ni
Afisa Habari wa mkoa wa Kagera, Silyvestar Raphael alitoa CD mbili moja na
Video na nyingine ya Sauti za mkutano ulioitishwa kwa ajili ya kusoma taarifa
za ukaguzi maalumu uliofanywa na CAG- katika manispaa ya Bukoba.
Agost 10 mwaka huu, shahidi huyo hakumaliza kutoa ushahidi
wake, baada ya kuibuka mabishano ya kisheria kati ya mawakili wa serikali wanaosimamia
kesi hiyo na Wakili wa malalamikaji Aron Kabunga juu ya kupokea au kutopokea Vielelezo
hiyo.
Thursday, August 20, 2015
KAYA 59667 KUNUFAIKA NA MPANGO WA TASAF AWAMU YA TATU KAGERA
Picha ya kwanza nai mkuu wa Wilaya ya Bukoba Jackson Msome aliyevaa suti akitoa pesa kwa Mariam Mussa mmoja wa wananchi waishio katika mazingira magumu kutoka Bukoba vijijini kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Kagera John Mongella
Picha ya Pili ni baadhi ya wananchi waishio katika kaya maskini walioudhulia uzinduzi wa mpango huo.
Mkoa wa Kagera wazindua TASAF awamu ya tatu kwa lengo likiwa ni kunusuru kaya maskini ambapo kaya 59667 zategemewa kunufaika na mpango huo.
AMANI MEYA WA BUKOBA ANYIMWA FOMU YA KUGOMBEA UDIWANI BUKOBA
MSIMAMIZI
wa uchaguzi Kata ya Kagondo Sharifa
Mstafa, amnyima fomu mgombea udiwani wa Kata hiyo
aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba Anatory Amani,
kupitia tiketi ya chama cha (NCCR-MAGEUZI ) kwa madai ya kupokea
maelekezo kutoka kwa msimamizi wa Jimbo la Bukoba Mjini.
Mstafa,alisema
sababu ya kukataa kutoa fomu kumesababishwa na kupokea barua mbili kutoka chama
hicho moja ikitoka ofisi ya chama cha ( NCCR-MAGEUZI )Mkoa wa Kagera na
nyingine kutoka wilayani zikiwa na maelekezo tofauti.
Alisema
barua iliyotoka ofisi ya Mkoa ya chama hicho iliyoandikwa tarehe 18/08/2015
saa 9.58 Alasiri yenye kumbukumbu NA.NCCR-
MAGEUZI/MM/KU/VOL.11/14/03 iliyosainiwa na kamishna wa chama hicho
mkoa wa Kagera Peterson Mganyizi ikimtambulisha Anatory Amani kuwa
mteuliwa wa kugombea udiwani wa chama hicho na kuwa watampeleka kuchukua fomu
Agost 19 mwaka huu.
Aliongeza
kuwa Agosti 19 mwaka huu majira ya saa 2:3asubuhi alipokea barua kutoka
chama hicho ngazi ya Wilaya ikimueleza kuwa chama hicho hakina mgombea wa
udiwani Kata ya Kagondo.
Subscribe to:
Posts (Atom)