WATOTO laki
3 wa Afrika huzaliwa wakiwa na ugonjwa
wa seli mundu kwa mwaka .
Takwimu hizo
zilitolewa na Dk. Digna Riwa bingwa wa magonjwa ya
ndani kutoka hospitali ya Amana Jijini Dar-es-Salaam wakati wa kampeni ya
magonjwa yasiyoambukiza iliyofanyika mkoani Kagera hivi majuzi.
Riwa
alisema kutokana na utafiti wa wataalam kutoka katika hospitali ya Rufaa ya Muhimbili umebainisha hari hiyo.
No comments:
Post a Comment